Martha Mwaipaja – Sipiganagi Mwenyewe mp3
Play Audio
Sipiganagi Mwenyewe Lyrics – Martha Mwaipaja
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Yahweh
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Mwenzio sishindani mwenyewe
Mimi vita sijui
Mimi vita siwezi
kasema nitulie atajibu
Kuna majira vita huja kwangu
Kuna majira watesi waliniunikia
Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe
Nikasikia sauti
Nikasikia sauti
sauti imebeba ushindi
sauti imebeba ushindi wangu ah
Ikaniambia mimi ni Baba Yako
Usipigane mwenyewe mwanangu
Usipambane mwenyewe nakupigania ah
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mimi sipambani mimi
napambaniwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
wenzio vita nimekatazwa
natetewa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe (Halleluhya)
Ninapiganiwa na Baba
Unapambana na mimi bure
Unashindana na mimi bure
mwenzio sijawahi jitetea
mimi sijawahi jipigania
Yesu amehakikisha
ananilinda mimi niwe salama
hataacha leo nizame
kama jana alinitetea
kamwe leo sitaangamia
Kama jana amenitetea
leo kamwe sitaangamia
sishindanangi mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninashindiwa na Yesu mwenyewe
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Kulikuwa na Nebukadneza
Aliwakusanya watu wengi sana
Alitaka wote wamwabudu
Walikuwepo vijana watatu ah
Shadraki Meshaki na Abedinego
Akawatisha kwa moto mkubwa
alitaka vijana wamwabudu
vijana wakamwambia
vijana wakamweleza eh
Hatupigani wenyewe
Hatushindani wenyewe
Hatujitetei sisi
Hatupambani wenyewe
twapambaniwa na baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Usipambane mwenyewe
atakupambania tu
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Tulia tulia
atakushindania tu
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
jitahidi kuendelea
utashinda vita tu
Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Martha Mwaipaja – Sipiganagi Mwenyewe mp