Mercy Masika – Zaidi mp3
Play Audio
Zaidi Lyrics – Mercy Masika
Tujafikiana kwa hekima
Ila kwa neema isiyo kifani
Yake Bwana
Damu yake ya dhamana
Pale msalabani
Nikapata ukombozi
Nikapata kufunguliwa
Ni Mungu asiyeshindwa lolote
Aliyeumba mbingu na nchi
Na vyote vilivyomo
Ni Mungu asiyeshindwa lolote
Aliyeumba mbingu na nchi
Na vyote vilivyomo
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Aliyekusudia maisha yangu
Anayekosoa makosa yangu
Anayenielekeza kando ya maji
Kando ya majani mabichi
Kwake anavyote navyohitaji
Nikiwa na kiu anipea uzima wa maji
Yeye ndiye nahitaji
Yeye ndiye uzima na njua yangu
Ni Mungu asiyeshindwa lolote
Aliyeumba mbingu na nchi
Na vyote vilivyomo
Ni Mungu asiyeshindwa lolote
Aliyeumba mbingu na nchi
Na vyote vilivyomo
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Anayenipenda kwa dhati
Nitaimba wimbo wake milele
Nitamsifu yeye
Yesu wangu
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Zaidi ninavyokujua
Zaidi ninakupenda
Zaidi ninakuheshimu
Zaidi ninakusifu
Mercy Masika – Zaidi mp3