DOWNLOAD: Rayvanny Ft Jux – Lala mp3 (Video & Lyrics)
READ ALSO  DOWNLOAD: Matthew West - Grace Wins mp3 (Video & Lyrics)
DOWNLOAD: Rayvanny Ft Jux – Lala mp3 (Video & Lyrics)

Rayvanny Ft Jux – Lala mp3

Download Mp3

Play Audio

Lala Lyrics – Rayvanny Ft Jux

Lala lala-lala (Vannyboy)
Lala lala-lala (S2keeyz baby)

Nawaza usingetokea ningeongea nini leo
Bila ya penzi lako ‘nge-enjoy nini leo
Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo
Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo
Kwenye baridi nikukumbate upate joto
Twende kwa bibi atupe baraka tuzae watoto

Eh ye ye, ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop
Vanessa wa nini we don’t talk talk, sitaki shobo nishablock-block

Iyee
Lala lala-lala (lala kifuani)
Lala lala-lala (kichuna ng’ang’a usinzie)
Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie)
Lala lala-lala (la la la)

Nikimwita sukari ananiita asali, lamba lamba, pipi
Kuku mwenye kidari shepu ngangari ya kuvunja kiti
Kanifunika, mbawa za upendo wake hunibeba kwenda juu
Wakimponda sawa, hawajui ndio nazidi kumpenda
Usiku kwenye kimvua-mvua tukivua-vua zima taa jilaze kwenye kifua
Unanijua-jua nnakujua-jua massage ya mafuta nikikuchua

Ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop
Fayma wa nini we don’t talk talk, sitaki shobo nishablock-block hee

Lala lala-lala (lala kifuani)
Lala lala-lala (kichuna lala usinzie)
Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie)
Lala lala-lala (la la la)

Lala lala-lala (lala kifuani)
Lala lala-lala (kichuna lala usinzie)
Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie)
Lala lala-lala (la la la)
Mhh, la la la
(Wasafi)

Rayvanny Ft Jux – Lala mp3

READ ALSO  DOWNLOAD: H.E.R - Changes mp3 (Video & Lyrics)